Sunday, February 10, 2013

JINSI YA KUTENGENEZA KUCHA ZA MIKONO


JINSI YA KUTENGENEZA KUCHA ZA MIGUU NA MIKONO





Wajukuu zangu siku zote mimi napenda niwaone mkiwa smart kama ambavyo mimi bibi yenu nilivyo. Leo nimeona niwawekee video ya namna ya kutengeneza kucha za miguu kwani urembo wa miguu na kucha kwa ujumla huongeza urembo kwa mwanamke hasa kwa wale wanaopendelea kuvaa viatu vya wazi. Kucha zikiwa chafu hupunguza umaridadi wa mwanamke na hata uvae kiatu cha laki mbili lakini kucha zikwa chafu, urembo wako utashuka. Na si lazima uende salon kutengeneza kucha zako. Waweza kufanya kutengeneza mwenyewe ukiwa home kwako na ukapendeza tu. Kikubwa ni kuweka nia tu kwani hakuna linaloshindikana chini ya jua.
 
Fuatilia video hii na kisha ujaribu hatua zote mwenyewe na kisha utanipa majibu kama video hii imekusaidia au la.
Ahsanteni.
Ni mimi bibi yenu,
Thereza.