Tuesday, February 26, 2013

JANETH JACKSON AOLEWA NA BILIONEA

Mwanamuziki Janeth Jakson (46 yrs) amethibitisha kuolewa na Bw.Wissam Almana(37yrs ) mfanyabiashara wa Qatari mwaka jana.Ndoa yao ilikuwa ni ya siri na ya kimyakimya.
 

Janeth Jackson na mumewe Wissam Almana.

 Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii, hakuna anayefahamu kwa undani zaidi habari za Almana zaidi ya kusemekana kwamba, Almana ni mtu ambaye amefanikiwa sana kibiashara duniani.

Hongera mjukuu wangu na Mungu ailinde ndoa yako eeehh!
 

No comments:

Post a Comment