Tuesday, February 26, 2013

MAMA MWENYE NYWELE NDEFU ZAIDI

MWANAMKE NYWELE BIBI WEEE!
 
 
UMEIONA HIYO
 
 WACHA WEE!BINTI ANAMSAIDIA MAMAYE KUTENGENEZA NYWELE

HAPA RUSSEL AKIZIFUNGA NYWELE ZAKE



KUDADADEKI, MABINTI WA RUSSEL NAO HAWAKO NYUMA. WANAFUATA NYAYO




RUSSEL NA WANAWE WAKIWA WAMEJIPUMZISHA. SIPATI PICHA NYWELE ZIKISHIKA MOTO. MMH! PATAKUWA HAPATOSHI



Wajukuu zangu mpoooooo! Kazi kwenu.

JANETH JACKSON AOLEWA NA BILIONEA

Mwanamuziki Janeth Jakson (46 yrs) amethibitisha kuolewa na Bw.Wissam Almana(37yrs ) mfanyabiashara wa Qatari mwaka jana.Ndoa yao ilikuwa ni ya siri na ya kimyakimya.
 

Janeth Jackson na mumewe Wissam Almana.

 Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii, hakuna anayefahamu kwa undani zaidi habari za Almana zaidi ya kusemekana kwamba, Almana ni mtu ambaye amefanikiwa sana kibiashara duniani.

Hongera mjukuu wangu na Mungu ailinde ndoa yako eeehh!